Posted By Posted On

CARLOS CARLINHOS NA NYOTA WENGINE YANGA SC KWENYE MAZOEZI LEO MKAPA MBELE YA KOCHA MPYA, on August 29, 2020 at 8:31 pm

Kiungo wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kesho kwenye kilele cha Wiki ya MwananchiMshambulaji mpya wa Yanga SC, Mghana Michael Sarpong akipiga mpira mazoezini leo  Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akipiga mpira mazoezini leo  Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Waziri Junior akipiga mpira mazoezini leo  Kocha mpya wa Yanga SC, Mserbia Zlatko Krmpotic (kulia) akiwa na Mweyekiti wa klabu, Dk Mshindo Msolla mazoezini leo  ,

Kiungo wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kesho kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi

Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Mghana Michael Sarpong akipiga mpira mazoezini leo  

Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akipiga mpira mazoezini leo  

Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Waziri Junior akipiga mpira mazoezini leo  

Kocha mpya wa Yanga SC, Mserbia Zlatko Krmpotic (kulia) akiwa na Mweyekiti wa klabu, Dk Mshindo Msolla mazoezini leo  

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *