Posted By Posted On

GEITA GOLD YAMCHUKUA KOCHA FREDDY FELIX MINZIRO AWASAIDIE KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO, on August 29, 2020 at 3:47 pm

KLABU ya Geita Gold FC leo imemtangaza rasmi Freddy Felix Minziro (kushoto) kuwa Kocha wake mpya atakayeiongoza timu hiyo katika jaribio lingine tena la kupanda Ligi Kuu ya Tanzana Bara msimu ujao kwa mkataba wa mwaka mmoja ,

KLABU ya Geita Gold FC leo imemtangaza rasmi Freddy Felix Minziro (kushoto) kuwa Kocha wake mpya atakayeiongoza timu hiyo katika jaribio lingine tena la kupanda Ligi Kuu ya Tanzana Bara msimu ujao kwa mkataba wa mwaka mmoja 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *