Kwa Roma hii mbona hatari!, on August 19, 2020 at 10:10 am

ROMA, Italia BAADA ya kuinunua Roma, kampuni ya Friedkin Group imepanga kuifanya klabu hiyo kuwa moja kati ya zile zinazosumbua katika soka la Ulaya. Juzi, Friedkin Group walimalizana na aliyekuwa mmiliki wa timu hiyo, James Pallotta, waliponunua asilimia 86.6 ya hisa. Kampuni hiyo yenye masikani yake Houston, Marekani, imepanga kuanza na taji la Serie A,
The post Kwa Roma hii mbona hatari! appeared first on Gazeti la Dimba.,

ROMA, Italia

BAADA ya kuinunua Roma, kampuni ya Friedkin Group imepanga kuifanya klabu hiyo kuwa moja kati ya zile zinazosumbua katika soka la Ulaya.

Juzi, Friedkin Group walimalizana na aliyekuwa mmiliki wa timu hiyo, James Pallotta, waliponunua asilimia 86.6 ya hisa.

Kampuni hiyo yenye masikani yake Houston, Marekani, imepanga kuanza na taji la Serie A, ambalo mara ya mwisho kubebwa na Roma ilikuwa mwaka 2001.

The post Kwa Roma hii mbona hatari! appeared first on Gazeti la Dimba.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *