NGAO YA JAMII LEO ARSENAL V LIVERPOOL, on August 29, 2020 at 9:33 am

 Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu mpya wa 2020/21 unafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo unawakutanisha Mabingwa wa EPL dhidi ya Mshindi wa FA wa msimu uliopita (2019/20 Liverpool walikuwa na msimu mzuri 2019/20 kwa kutwaa Ubingwa wa EPL baada ya miaka 30, sasa wanaunza rasmi msimu wa 2020/21 kwa mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Arsenal.Arsenal ilitwaa taji la FA baada ya kushinda mbele ya Chelsea kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa, Uwanja wa Wembley. Leo Agosti 29 Arsenal inamenyana na Liverpool, Uwanja wa Wembely ambapo Liverpool itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza Ngo ya Jamii msimu uliopita kwa kufungwa kwa penalti na Manchester City.Inakuwa ni mara ya nne kukutana leo kwenye Ngao ya Jamii ambapo walikutana nyuma mara tatu huku Liverpool ikishinda mara mbili 1979 na 1989 na Arsenal mara moja mwaka 2002.  ,


 Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu mpya wa 2020/21 unafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo unawakutanisha Mabingwa wa EPL dhidi ya Mshindi wa FA wa msimu uliopita (2019/20

 

Liverpool walikuwa na msimu mzuri 2019/20 kwa kutwaa Ubingwa wa EPL baada ya miaka 30, sasa wanaunza rasmi msimu wa 2020/21 kwa mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Arsenal.


Arsenal ilitwaa taji la FA baada ya kushinda mbele ya Chelsea kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa, Uwanja wa Wembley.


 Leo Agosti 29 Arsenal inamenyana na Liverpool, Uwanja wa Wembely ambapo Liverpool itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza Ngo ya Jamii msimu uliopita kwa kufungwa kwa penalti na Manchester City.


Inakuwa ni mara ya nne kukutana leo kwenye Ngao ya Jamii ambapo walikutana nyuma mara tatu huku Liverpool ikishinda mara mbili 1979 na 1989 na Arsenal mara moja mwaka 2002.

 

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *