
RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA, on August 29, 2020 at 8:18 pm
Kiungo mpya wa Simba SC, Mzambia Rally Bwalya akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii kesho dhidi ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini ArushaBeki Shomari Kapombe akipasua na mpira kwenye mazoezi ya leo ya Simba Charles Ilamfya akiwakokota wachezaji wenzake mazoezini leo Arusha Beki Kennedy Wilson akimiliki mpira katikati ya viungo Clatous Chama (kushoto) na Jonas Mude kushoto Nahodha na mshambuliaji John Bocco akiudhibiti mpira leo mazoezini,

Kiungo mpya wa Simba SC, Mzambia Rally Bwalya akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii kesho dhidi ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha

Beki Shomari Kapombe akipasua na mpira kwenye mazoezi ya leo ya Simba

Charles Ilamfya akiwakokota wachezaji wenzake mazoezini leo Arusha

Beki Kennedy Wilson akimiliki mpira katikati ya viungo Clatous Chama (kushoto) na Jonas Mude kushoto

Nahodha na mshambuliaji John Bocco akiudhibiti mpira leo mazoezini
,
Comments (0)