SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA, on August 29, 2020 at 10:29 am

SERIKALI imezitoa hofu klabu za soka Tanzania kuhusu wachezaji na makocha wa kigeni iliyowaajiri kwamba zinaweza kuwatuma wakati huu Ligi Kuu ya Tanzania Bara haijaanza, lakini tu wafuate taratibu za kuwaombea vibali.,

SERIKALI imezitoa hofu klabu za soka Tanzania kuhusu wachezaji na makocha wa kigeni iliyowaajiri kwamba zinaweza kuwatuma wakati huu Ligi Kuu ya Tanzania Bara haijaanza, lakini tu wafuate taratibu za kuwaombea vibali.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *