SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KWENDA ARUSHA KWA AJILI YA MECHI YA NGAO YA JAMII DHIDI YA NAMUNGO FC JUMAPILI, on August 28, 2020 at 4:06 pm

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji akifurahia wakati wa safari ya kwenda Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC Jumapili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Beki wa Simba SC, Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akiwa na Kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mtunisia Adel Zrane wakati wa safari ya Arusha leo  Beki mzawa Shomari Kapombe (kushoto) akiwa na mshambulaji Mnyarwanda, Meddie Kagere wakati wa safari ya Arusha leo ,

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji akifurahia wakati wa safari ya kwenda Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC Jumapili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 

Beki wa Simba SC, Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akiwa na Kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mtunisia Adel Zrane wakati wa safari ya Arusha leo  

Beki mzawa Shomari Kapombe (kushoto) akiwa na mshambulaji Mnyarwanda, Meddie Kagere wakati wa safari ya Arusha leo 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *