STAA WA ‘WAKADA FOREVER’ AFARIKI, on August 29, 2020 at 7:48 am

 Muigizaji wa filamu ya Black Panther, ya mwaka 2018, Chadwick Boseman ametangulia mbele za haki kwa tatizo la Kansa.Nyota huyo alijipatia umaarufu kupitia filamu amefariki akiwa na umri wa miaka 43, jana Ijumaa.Kifo chake kimewashtua mastaa wengi ikiwa ni pamoja na Oprah Winfrey ambaye anaandika kupitia Ukurasa wake wa Twitter kuwa:Nafsi yako na ipumzike katika amani.Filamu ya Wakada ilipata umaarufu duniani kutokana na kuigiza mila za kiafrika.Hashtag yake ilikuwa ni Wakada Forever.,


 Muigizaji wa filamu ya Black Panther, ya mwaka 2018, Chadwick Boseman ametangulia mbele za haki kwa tatizo la Kansa.


Nyota huyo alijipatia umaarufu kupitia filamu amefariki akiwa na umri wa miaka 43, jana Ijumaa.


Kifo chake kimewashtua mastaa wengi ikiwa ni pamoja na Oprah Winfrey ambaye anaandika kupitia Ukurasa wake wa Twitter kuwa:Nafsi yako na ipumzike katika amani.


Filamu ya Wakada ilipata umaarufu duniani kutokana na kuigiza mila za kiafrika.Hashtag yake ilikuwa ni Wakada Forever.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *