TWAHA KiDUKU AMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI, IBRAH CLASS NAYE ANG’ARA UHURU, on August 29, 2020 at 7:05 am

Bondia Abdallah Paz ‘Dullah Mbabe’ (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake Twaha Kiduku wa Morogoro katika pambano la uzito wa Super Middle raundi 10 kuwania ubingwa wa Taifa (TPBC) usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Hata hivyo Kiduku ameshinda kwa pointi za majaji wote, ( 93-97, 91-99 na 93-97)Twaha Kiduku akienda chini baada ya kukutana na ngumi ya Dullah Mbabe’ Refa Anthony Rutta akimuinua mkono bondia Ibrahim Classic ‘Mawe’ kumangaza mshnd kwa pointi dhidi ya Nassib Ramadhani katika pambano la raundi 10 kuwania ubingwa wa Taifa (TPBC) uzito wa Feather.,

Bondia Abdallah Paz ‘Dullah Mbabe’ (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake Twaha Kiduku wa Morogoro katika pambano la uzito wa Super Middle raundi 10 kuwania ubingwa wa Taifa (TPBC) usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Hata hivyo Kiduku ameshinda kwa pointi za majaji wote, ( 93-97, 91-99 na 93-97)

Twaha Kiduku akienda chini baada ya kukutana na ngumi ya Dullah Mbabe’ 

Refa Anthony Rutta akimuinua mkono bondia Ibrahim Classic ‘Mawe’ kumangaza mshnd kwa pointi dhidi ya Nassib Ramadhani katika pambano la raundi 10 kuwania ubingwa wa Taifa (TPBC) uzito wa Feather.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *