YANGA SC WAPEWA SIKU TANO KUREJESHA KIBALI CHA KUFANYIA KAZI CHA MORRISON VINGINEVYO WATACHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA, on August 28, 2020 at 8:15 pm

IDARA ya Uhamiaji Tanzania imeipa siku tano klabu ya Yanga kurejesha kibali cha kufanyia kazi nchini cha mchezaji Mghana, Bernard Morrison kwa kuwa hivi sasa hafanyi tena kazi kwao.,

IDARA ya Uhamiaji Tanzania imeipa siku tano klabu ya Yanga kurejesha kibali cha kufanyia kazi nchini cha mchezaji Mghana, Bernard Morrison kwa kuwa hivi sasa hafanyi tena kazi kwao.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *