Posted By Posted On

AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA TANZANIA PRISONS LEO CHAMAZI, on August 30, 2020 at 7:39 pm

Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D’jodi akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1, Prisons wakitangulia kwa bao la Jeremiah Juma kabla ya Mzambia Obrey Chirwa kuisawazishia Azam FC ,

Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D’jodi akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1, Prisons wakitangulia kwa bao la Jeremiah Juma kabla ya Mzambia Obrey Chirwa kuisawazishia Azam FC 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *