Posted By Posted On

BEKI HODARI WA KULIA, HASSAN RAMADHANI KESSY AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR KUTOKA NKANA FC YA ZAMBIA, on August 30, 2020 at 1:52 pm

BEKI wa kulia, Hassan Ramadhan Kessy akiwa na nakala za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro kutoka Nkana FC ya Zambia. Kessy aliibukia Mtibwa Sugar kabla ya kwenda kuchezea watani wa jadi, Simba na Yanga SC za Dar es Salaam ,

BEKI wa kulia, Hassan Ramadhan Kessy akiwa na nakala za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro kutoka Nkana FC ya Zambia. Kessy aliibukia Mtibwa Sugar kabla ya kwenda kuchezea watani wa jadi, Simba na Yanga SC za Dar es Salaam 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *