Posted By Posted On

LIVE: NGAO YA JAMII, SIMBA 1-0 NAMUNGO, on August 30, 2020 at 1:02 pm

 Dakika ya 20 Morrison anampa pasi Chama ndani ya 18 inaokolewa na Nurdin Barola. Dakika ya 15 Mzamiru anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 9 Namungo wanapiga faulo kuelekea SimbaDakika ya 7 Bocco Goal kwa penalti Dk 4Bocco anakosa nafasi ndani ya 18Ngao ya JamiiUwanja wa Sheikh Amri Abeid Simba v Namungo FC Kipindi cha kwanzaSimba 0-0,

 

Dakika ya 20 Morrison anampa pasi Chama ndani ya 18 inaokolewa na Nurdin Barola. 
Dakika ya 15 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 9 Namungo wanapiga faulo kuelekea Simba

Dakika ya 7 Bocco Goal kwa penalti 
Dk 4Bocco anakosa nafasi ndani ya 18

Ngao ya Jamii

Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 

Simba v Namungo FC 

Kipindi cha kwanza

Simba 0-0

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *