Posted By Posted On

LIVE:YANGA 0-0 AIGLE NOR, on August 30, 2020 at 4:24 pm

Dakika ya 23 Kibwana Shomari anamwaga maji yanakutana na mikono ya kipa wa Aigle Dakika ya 20,Tuisila ndani ya 18 anampa Yassin Mustapha ambaye anamwaga maji yanakutana na kichwa cha Sarpong hakizai matundaDakika ya 13 Aigle wanaanzisha mashambulizi kwenda YangaDakika ya 10 Koffi Kouassi wa Aigle alionyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu KisindaDakika ya 3 Michael Sarpong alisababisha kona ambayo haikuzaa matunda UWANJA wa MkapaMchezo wa kirafiki wa kimataifaYanga 0-0 Aigle Noir,

Dakika ya 23 Kibwana Shomari anamwaga maji yanakutana na mikono ya kipa wa Aigle 
Dakika ya 20,Tuisila ndani ya 18 anampa Yassin Mustapha ambaye anamwaga maji yanakutana na kichwa cha Sarpong hakizai matunda

Dakika ya 13 Aigle wanaanzisha mashambulizi kwenda Yanga

Dakika ya 10 Koffi Kouassi wa Aigle alionyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Kisinda

Dakika ya 3 Michael Sarpong alisababisha kona ambayo haikuzaa matunda 

UWANJA wa Mkapa

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa

Yanga 0-0 Aigle Noir


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *