Posted By Posted On

MASHABIKI WAJISHINDIA TIKETI KUTOKA SPOTI XTRA UWANJA WA MKAPA, on August 30, 2020 at 9:20 am

 Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za  Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi. Walikabidhi mashabiki ambao walikutwa wakilisoma gazeti hilo katika viunga vya uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.,

 

Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za  Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi.

 

Walikabidhi mashabiki ambao walikutwa wakilisoma gazeti hilo katika viunga vya uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *