Posted By Posted On

MSHAMBULAJI MPYA, YACOUBA SOGNE AWASILI KUTOKA KWAO, BURKINA FASSO KUKAMILISHA KIKOSI KIPYA CHA YANGA SC, on August 31, 2020 at 2:33 pm

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwapungia mkono huku amebeba bendera mashabiki wa Yanga SC baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujiunga na klabu yake hiyo mpya, akitokea Asante Kotoko ya Ghana Yacouba Sogne (kulia) akiwa  na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa Yanga SC leo JNIA ,

Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwapungia mkono huku amebeba bendera mashabiki wa Yanga SC baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujiunga na klabu yake hiyo mpya, akitokea Asante Kotoko ya Ghana 

Yacouba Sogne (kulia) akiwa  na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa Yanga SC leo JNIA 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *