
NAMNA SIMBA ILIVYOTWAA NGAO YA JAMII MARA NNE MFULULIZO, on August 30, 2020 at 11:21 pm
Namna Simba ilivyosepa na Ngao ya Jamii mara nne mfululizo:-2017/18Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa kushinda mbele ya Yanga.2018/19Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya Mtibwa Sugar2019/20Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Azam FC2020/21Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Namungo FC.,
Namna Simba ilivyosepa na Ngao ya Jamii mara nne mfululizo:-
2017/18
Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa kushinda mbele ya Yanga.
2018/19
Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya Mtibwa Sugar
2019/20
Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Azam FC
2020/21
Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Namungo FC.
,
Comments (0)