Posted By Posted On

POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS ‘SHARO’ WA ALLIANCE FC, on August 31, 2020 at 8:49 pm

Beki wa kushoto, Yahaya Mbegu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo aktokea Mwadui FC ya Shinyanga Kiungo mshambuliaji Deusdedit Cossmas ‘Sharo’ (kulia) amesiani mkataba wa miaka miwili kujiunga na Polisi Tanzania kutoka Alliance FC ya Mwanza,

Beki wa kushoto, Yahaya Mbegu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo aktokea Mwadui FC ya Shinyanga 

Kiungo mshambuliaji Deusdedit Cossmas ‘Sharo’ (kulia) amesiani mkataba wa miaka miwili kujiunga na Polisi Tanzania kutoka Alliance FC ya Mwanza

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *