
HII HAPA ORODHA YA LIGI ZA NCHI ZITAKAZOPELEKA TIMU NNE KIMATAIFA AFRIKA, on September 1, 2020 at 6:39 pm
HII hapa orodha ya Ligi za nchi ambazo zitapeleka timu nne kwenye michuano ya kimataifa Afrika yaani mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe la Shirikisho MoroccoMisriTunisiaCongoAlgeriaAfrika KusiniZambiaNigeriaGuineaAngolaSudan Libya,
HII hapa orodha ya Ligi za nchi ambazo zitapeleka timu nne kwenye michuano ya kimataifa Afrika yaani mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe la Shirikisho
Morocco
Misri
Tunisia
Congo
Algeria
Afrika Kusini
Zambia
Nigeria
Guinea
Angola
Sudan
Libya
,
Comments (0)