Posted By Posted On

KIPA NAMBA MOJA WA BURUNDI, JONATHAN NAHIMANA AJIUNGA NA NAMUNGO FC BAADA YA KUACHANA NA KMC, on September 1, 2020 at 11:25 am

Kipa wa kimataifa wa Burundi, Jonathan Nahimana akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, akitokea KMC ya Kinondoni ,

Kipa wa kimataifa wa Burundi, Jonathan Nahimana akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, akitokea KMC ya Kinondoni 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *