Posted By Posted On

NYOTA YANGA ASAINI POLISI TANZANIA, on September 1, 2020 at 12:43 pm

 TARIQ Seif, kiungo mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Yanga amesaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania. Seif alipokuwa akikipiga Yanga alipewa jezi namba 10 ambayo kwa sasa amekabidhiwa mshambuliaji mpya Yacouba Sogne raia wa Burkina Faso.Polis Tanzania imezidi kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 ambapo imesajili nyota wengi wenye uzoefu ikiwa ni pamoja  na Daruesh Saliboko aliyekuwa ndani ya Lipuli.Dirisha la usajili ambalo lilifunguliwa Agosti Mosi limefungwa Agosti 31.,

 

TARIQ Seif, kiungo mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Yanga amesaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania. 


Seif alipokuwa akikipiga Yanga alipewa jezi namba 10 ambayo kwa sasa amekabidhiwa mshambuliaji mpya Yacouba Sogne raia wa Burkina Faso.


Polis Tanzania imezidi kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 ambapo imesajili nyota wengi wenye uzoefu ikiwa ni pamoja  na Daruesh Saliboko aliyekuwa ndani ya Lipuli.


Dirisha la usajili ambalo lilifunguliwa Agosti Mosi limefungwa Agosti 31.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *