
PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AJIUGA NA AS VITA CLUB BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAKE YANGA SC, on August 31, 2020 at 9:09 pm
ALIYEKUWA kiungo wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi leo amejiunga na AS Vita ya kwao, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo (DRC) kufuatia kumaliza mkataba wake tmu ya Jangwani,

ALIYEKUWA kiungo wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi leo amejiunga na AS Vita ya kwao, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo (DRC) kufuatia kumaliza mkataba wake tmu ya Jangwani
,
Comments (0)