Posted By Posted On

MO DEWJI AMKABIDHI JEZI MPYA SHABIKI WA SIMBA SC ALYECHANIWA JEZI NA MASHABIKI WA YANGA, on September 1, 2020 at 7:13 pm

Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohamed ‘Mo’ Dewji (kushoto) akimkabidhi jezi mpya, shabiki Kindio Hassan kama fidia baada ya kuchaniwa jezi yake na mashabiki wa Yanga juzi kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, tafrija ya wapinzani wao hao Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ,

Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohamed ‘Mo’ Dewji (kushoto) akimkabidhi jezi mpya, shabiki Kindio Hassan kama fidia baada ya kuchaniwa jezi yake na mashabiki wa Yanga juzi kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, tafrija ya wapinzani wao hao Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *