Posted By Posted On

MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI TFF, MCHUNGAHELA AJIUZULU BAADA YA KUPEWA MAJUKUMU MENGINE, on September 1, 2020 at 7:07 pm

MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Malangwe Ally Mchungahela amejiuzulu wadhifa huo kufuatia kuteuliwa kuwa Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo za Klabu.,

MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Malangwe Ally Mchungahela amejiuzulu wadhifa huo kufuatia kuteuliwa kuwa Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo za Klabu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *