India yaweka rekodi ya maambukizi ya juu zaidi duniani katika saa 24,on August 30, 2020 at 2:06 pm

India imeripoti maambukizi mapya ya virusi vya corona 78,761 katika kipindi cha saa 24 Jumapili, ikiwa ni idadi ya juu kabisa katika ongezeko la siku moja duniani tangu janga hili kuanza, wakati nchi hiyo ikiendelea kufungua uchumi wake., India imeripoti maambukizi mapya ya virusi vya corona 78,761 katika kipindi cha saa 24 Jumapili, ikiwa ni idadi ya juu kabisa katika ongezeko la siku moja duniani tangu janga hili kuanza, wakati nchi hiyo ikiendelea kufungua uchumi wake.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *