Posted By Posted On

KAGERA SUGAR INA MAJEMBE 8 YA KAZI, MOJA KUTOKA YANGA, HAWA HAPA, on September 2, 2020 at 9:00 pm

 KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeongeza wachezaji nane wapya wakati wa dirisha la usajili lililofunguliwa Agosti Mosi na kufungwa Agosti 31.Mchezo wake wa kwanza kwa msimu wa 2020/21 itakuwa ni dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Kaitaba, hawa hapa nyota wake:-Abdalah Mfuko beki kutoka KMCAlly Nasoro kutoka Mbeya yeye ni kiungo.Mbaraka Yusuph yeye ni mshambuliaji kutoka Azam FC.Hassan Mwaterema kutoka JKT Tanzania yeye ni mshambuliaji.Sadat Mohamed akitokea Ruvu Shooting yeye ni winga. Vitalis Mayanga kutoka Ndanda FC yeye ni mshambuliaji. Ally Mtoni kutoka Yanga yeye ni beki.Mohamed Ibrahim, Mo Ibra yeye ni kiungo mshambuliaji kutoka Simba alikuwa anakipiga Namungo FC kwa mkopo.,

 


KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeongeza wachezaji nane wapya wakati wa dirisha la usajili lililofunguliwa Agosti Mosi na kufungwa Agosti 31.


Mchezo wake wa kwanza kwa msimu wa 2020/21 itakuwa ni dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Kaitaba, hawa hapa nyota wake:-

Abdalah Mfuko beki kutoka KMC

Ally Nasoro kutoka Mbeya yeye ni kiungo.

Mbaraka Yusuph yeye ni mshambuliaji kutoka Azam FC.

Hassan Mwaterema kutoka JKT Tanzania yeye ni mshambuliaji.

Sadat Mohamed akitokea Ruvu Shooting yeye ni winga.

 Vitalis Mayanga kutoka Ndanda FC yeye ni mshambuliaji.

 Ally Mtoni kutoka Yanga yeye ni beki.

Mohamed Ibrahim, Mo Ibra yeye ni kiungo mshambuliaji kutoka Simba alikuwa anakipiga Namungo FC kwa mkopo.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *