Makubaliano ya kihistoria yafikiwa baina ya pande hasimu Sudan,on August 31, 2020 at 1:33 pm

Viongozi wa serikali ya mpito nchini Sudan na wakuu wa makundi ya waasi katika jimbo la Darfur leo wamefikia makubaliano ya kihistoria ya mkataba wa amani unaoelezewa ni hatua muhimu ya kwanza kuelekea katika kumaliza vita vya takriban miaka 17., Viongozi wa serikali ya mpito nchini Sudan na wakuu wa makundi ya waasi katika jimbo la Darfur leo wamefikia makubaliano ya kihistoria ya mkataba wa amani unaoelezewa ni hatua muhimu ya kwanza kuelekea katika kumaliza vita vya takriban miaka 17.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *