Mike Pence akubali kuwa mgombea mwenza wa Rais Trump,on August 27, 2020 at 3:19 pm

Makamu rais, Mike Pence alikuwa msemaji mkuu katika siku ya tatu ya mkutano mkuu wa kitaifa wa chama cha Republican, akiongea kutoka Fort McHenry, Baltimore kukubali uteuzi wa chama chake kuwa mgombea mwenza wa Rais Donald Trump katika uchaguzi wa mwezi Novemba 2020., Makamu rais, Mike Pence alikuwa msemaji mkuu katika siku ya tatu ya mkutano mkuu wa kitaifa wa chama cha Republican, akiongea kutoka Fort McHenry, Baltimore kukubali uteuzi wa chama chake kuwa mgombea mwenza wa Rais Donald Trump katika uchaguzi wa mwezi Novemba 2020.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *