UAE yafuta sheria ya kuisusia Israeli,on August 29, 2020 at 1:24 pm

Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametoa amri ya kiutendaji inayofuta sheria ya kuisusia Israeli na kuruhusu mikataba ya biashara na fedha kati ya nchi hizo mbili, shirika la habari la serikali WAM limeripoti Jumamosi., Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametoa amri ya kiutendaji inayofuta sheria ya kuisusia Israeli na kuruhusu mikataba ya biashara na fedha kati ya nchi hizo mbili, shirika la habari la serikali WAM limeripoti Jumamosi.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *