Watoto wa Rusesabagina wadai baba yao ametekwa nyara na Rwanda,on September 1, 2020 at 5:40 pm

Familia ya Paul Rusesabagina aliepata umaarufu kutokana na filamu ya Hollywood inayoeelezea namna alivyookoa raia wa ki-Tutsis wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 nchini Rwanda, inawashtumu viongozi wa Rwanda kwa kumteka nyara., Familia ya Paul Rusesabagina aliepata umaarufu kutokana na filamu ya Hollywood inayoeelezea namna alivyookoa raia wa ki-Tutsis wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 nchini Rwanda, inawashtumu viongozi wa Rwanda kwa kumteka nyara.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *