Posted By Posted On

JOSE LUIS GAYA AISAWAZISHIA HISPANIA DAKIKA YA 90 YATOKA SARE YA 1-1 NA UJERUMANI, on September 4, 2020 at 11:36 am

BEKI Jose Luis Gaya akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Hispania bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei kufuatia Timo Werner kuwatanguliza wenyeji, Ujerumani dakika ya 51 katika sare ya  1-1 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa ya Ulaya,usiku wa jana  Uwanja wa Mercedes-Benz-Arena Jijini Stuttgart PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

BEKI Jose Luis Gaya akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Hispania bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei kufuatia Timo Werner kuwatanguliza wenyeji, Ujerumani dakika ya 51 katika sare ya  1-1 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa ya Ulaya,usiku wa jana  Uwanja wa Mercedes-Benz-Arena Jijini Stuttgart PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *