Posted By Posted On

LIONEL MESSI BADO YUPOYUPO NDANI YA BARCELONA, on September 4, 2020 at 5:07 pm

 Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba wake yanayoweka zuio la yeye kuikacha klabu hiyo kwa muda huu.Nyota huyo alikuwa anataka kuondoka ndani ya Barcelona baada ya timu hiyo kufungwa mabao 8-2 na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Katika maelezo yake, Messi amesema “Sikuwa na furaha nikataka kuondoka,nabakia kwenye klabu ili nisiingie kwenye mvutano wa kisheria. Utawala wa Bartomeu ni janga kwa klabu.”Timu iliyokuwa inapewa nafasi kupata saini ya nyota huyo ilikuwa ni Manchester City.,

 Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba wake yanayoweka zuio la yeye kuikacha klabu hiyo kwa muda huu.

Nyota huyo alikuwa anataka kuondoka ndani ya Barcelona baada ya timu hiyo kufungwa mabao 8-2 na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. 

Katika maelezo yake, Messi amesema “Sikuwa na furaha nikataka kuondoka,nabakia kwenye klabu ili nisiingie kwenye mvutano wa kisheria. Utawala wa Bartomeu ni janga kwa klabu.”

Timu iliyokuwa inapewa nafasi kupata saini ya nyota huyo ilikuwa ni Manchester City.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *