Posted By Posted On

MTIBWA SUGAR WAWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAGONJWA HOSPITALINI MOROGORO KABLA YA KUANZA KWA LIGI KUU JUMAPILI, on September 4, 2020 at 10:55 am

KIPA wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed Nduda akimfariji mgionjwa jana walitembelea hospitali mbili, Turiani, Bwagala na Mtibwa kwa ajili ya kuwapa pole na kuwafariji wagonjwa ikiwa ni pamoja kuwapelekea baadhi ya mahitaji muhimu. Mtibwa Sugar watacheza mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani Jumapili, Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro  ,

KIPA wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed Nduda akimfariji mgionjwa jana walitembelea hospitali mbili, Turiani, Bwagala na Mtibwa kwa ajili ya kuwapa pole na kuwafariji wagonjwa ikiwa ni pamoja kuwapelekea baadhi ya mahitaji muhimu. 

Mtibwa Sugar watacheza mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani Jumapili, Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro  ,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *