Posted By Posted On

VIONGOZI AZAM FC WAKUTANA FARAGHA NA WACHEZAJI WAO, MAKOCHA KUPANGA MIPANGO, on September 4, 2020 at 6:17 pm

Viongozi wa Azam FC wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wachezaji wa kikosi hicho, kujadili mipango kuelekea msimu huu. Azam FC itafungua pazia la ligi kwa kukipiga dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu ijayo. Wachezaji wa Azam FC wakiwasikiliza viongozi wao kwenye kikao cha leo ,

Viongozi wa Azam FC wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wachezaji wa kikosi hicho, kujadili mipango kuelekea msimu huu. Azam FC itafungua pazia la ligi kwa kukipiga dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu ijayo. 

Wachezaji wa Azam FC wakiwasikiliza viongozi wao kwenye kikao cha leo 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *