Posted By Posted On

AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI, on September 5, 2020 at 7:00 pm

Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Wachezaji wa Azam FC wakifurahia kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D’jordi akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu  Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu Wachezaji wa Azam FC wakijifua kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu ,

Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 

Wachezaji wa Azam FC wakifurahia kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu 

Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D’jordi akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu  

Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu 

Wachezaji wa Azam FC wakijifua kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *