Posted By Posted On

FIRMINO, MANE WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YASHINDA 7-2, on September 5, 2020 at 8:35 pm

Mkongwe James Milner akimpongeza kinda Harvey Elliott baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 7-2 dhidi ya Blackpool kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa TBC. Mabao mengine ya Liveropool yamefungwa na Joel Matip dakika ya 43, Sadio Mané dakika ya 52, Roberto Firmino dakika ya 54, Takumi Minamino dakika ya 71 na Divock Origi dakika ya 85 na Sepp Van den Berg dakika ya 88, wakati ya Blackpool yamefungwa na CJ Hamilton dakika ya 15 na Jerry Yates dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Mkongwe James Milner akimpongeza kinda Harvey Elliott baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 7-2 dhidi ya Blackpool kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa TBC. Mabao mengine ya Liveropool yamefungwa na Joel Matip dakika ya 43, Sadio Mané dakika ya 52, Roberto Firmino dakika ya 54, Takumi Minamino dakika ya 71 na Divock Origi dakika ya 85 na Sepp Van den Berg dakika ya 88, wakati ya Blackpool yamefungwa na CJ Hamilton dakika ya 15 na Jerry Yates dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *