Posted By Posted On

KAI HAVERTZ ALIVYOANZA KAZI CHELSEA BAADA YA USAJILI WA REKODI, on September 5, 2020 at 8:05 pm

Kiungo mpya mshambuliaji wa Chelsea, Kai Havertz akiwa mazoezini na timu yake hiyo mpya uwanja wa Cobham leo kufuatia jana kukamilisha uhamisho wa rekodi, Pauni Milioni 89 kutoka Bayer Leverkusen ya kwao, Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA ,

Kiungo mpya mshambuliaji wa Chelsea, Kai Havertz akiwa mazoezini na timu yake hiyo mpya uwanja wa Cobham leo kufuatia jana kukamilisha uhamisho wa rekodi, Pauni Milioni 89 kutoka Bayer Leverkusen ya kwao, Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *