Posted By Posted On

MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUIVAA TANZANIA PRISONS KATIKA MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA KESHO MKAPA, on September 5, 2020 at 6:38 pm

Nyota mpya wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Beki mpya wa Yanga SC, Yassin Mustapha akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam,

Nyota mpya wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam  

Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 

Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 

Beki mpya wa Yanga SC, Yassin Mustapha akijifua kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam 

Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *