Posted By Posted On

MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC AAHIDI MAMBO MAKUBWA…ASEMA MATAJI KAMA KAWA NA MENGINE MAZURI YANAKUJA, on September 5, 2020 at 3:39 pm

Na Asha Said, DAR ES SALAAM          MTENDAJI Mpya wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez, amesema anatarajia makubwa ndani ya klabu hiyo kubwa likiwa kubeba mataji yote waliyopata msimu uliopita.                  Akizungumza mara baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari na  Mwenyekiti wa bodi ya Simba Mohammed Dewji,  Gonzalez alisema kuwa kutokana na uzoefu aliokuwa nao  ndani ya klabu ya Simba ana matumaini ya kufanya makubwa .      Alisema mara baada ya kupewa nafasi ya kukaimu akiweza kujifunza mengi,  hivyo hana ugeni wa utendaji.                          “Nina haidi makubwa simba,  ikiwa ni pamoja ya kutetea makombe yote tuliyochukuwa msimu uliopita,  kikubwa ushirikiano wa wanachama,  mashabiki na wadau wote wa Simba kwa ujumla” alisema Gonzalez.,

Na Asha Said, DAR ES SALAAM          MTENDAJI Mpya wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez, amesema anatarajia makubwa ndani ya klabu hiyo kubwa likiwa kubeba mataji yote waliyopata msimu uliopita.                  Akizungumza mara baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari na  Mwenyekiti wa bodi ya Simba Mohammed Dewji,  Gonzalez alisema kuwa kutokana na uzoefu aliokuwa nao  ndani ya klabu ya Simba ana matumaini ya kufanya makubwa .      
Alisema mara baada ya kupewa nafasi ya kukaimu akiweza kujifunza mengi,  hivyo hana ugeni wa utendaji.                          
“Nina haidi makubwa simba,  ikiwa ni pamoja ya kutetea makombe yote tuliyochukuwa msimu uliopita,  kikubwa ushirikiano wa wanachama,  mashabiki na wadau wote wa Simba kwa ujumla” alisema Gonzalez.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *