Posted By Posted On

Sudan yatangaza dharura ya kitaifa kutokana na mafuriko,on September 5, 2020 at 2:48 pm

Baraza la usalama na ulinzi la Sudan limetangaza dharura ya kitaifa ya miezi mitatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na ambazo zimesababisha vifo vya takribana watu 100 kufikia sasa. Shirika la Habari la serikali SUNA liliripoti mapema Jumamosi., Baraza la usalama na ulinzi la Sudan limetangaza dharura ya kitaifa ya miezi mitatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na ambazo zimesababisha vifo vya takribana watu 100 kufikia sasa. Shirika la Habari la serikali SUNA liliripoti mapema Jumamosi.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *