Posted By Posted On

BILA CRISTIANO RONALDO, URENO YAICHAPA CROATIA 4-1 PORTO, on September 6, 2020 at 7:45 am

BEKI wa Manchester City, Joao Cancelo akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Do Dragao Jijini Porto. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo yalifungwa na  Diogo Jota dakika ya 58, Joao Felix dakika ya 70 na Andre Silva dakika ya 90 na ushei, wakati la Croatia lilifungwa na Bruno Petkovic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

BEKI wa Manchester City, Joao Cancelo akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Do Dragao Jijini Porto. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo yalifungwa na  Diogo Jota dakika ya 58, Joao Felix dakika ya 70 na Andre Silva dakika ya 90 na ushei, wakati la Croatia lilifungwa na Bruno Petkovic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *