Posted By Posted On

MBAPPE AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAICHAPA SWEDEN 1-0, on September 6, 2020 at 7:56 am

Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *