Posted By Posted On

MVURUGANO WA MO NA KIGWANGALA UMEFIKIA HAPA, on September 6, 2020 at 11:06 am

 JANA Septemba 5 baada ya uongozi wa Simba kumtangaza Mtendaji Mkuu mpya wa klabu hiyo kuwa Barbara Gonzalez kuliibuka mvurugano mkubwa wa maneno ya hoja kwenye mitandao ya kijamii kati ya mheshimiwa Hamisi Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji suala kubwa likiwa ni vigezo vya kumpata mrithi huyo wa Senzo Mbatha ambaye yupo Yanga.Pia Kingwangala aligusia ishu ya bilioni 20 ambapo anaeleza kuwa kwa mujibu wa katiba muda wa kuweka fedha hizo umekwisha na hakuna kinachoendelea na mwisho alimaliza kwa kusema kuwa ameambiwa aache hivyo hataendelea tena kuzungumzia masuala ya uwekezaji. Hizi hapa baadhi ya jumbe zao ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi:-,

 JANA Septemba 5 baada ya uongozi wa Simba kumtangaza Mtendaji Mkuu mpya wa klabu hiyo kuwa Barbara Gonzalez kuliibuka mvurugano mkubwa wa maneno ya hoja kwenye mitandao ya kijamii kati ya mheshimiwa Hamisi Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji suala kubwa likiwa ni vigezo vya kumpata mrithi huyo wa Senzo Mbatha ambaye yupo Yanga.


Pia Kingwangala aligusia ishu ya bilioni 20 ambapo anaeleza kuwa kwa mujibu wa katiba muda wa kuweka fedha hizo umekwisha na hakuna kinachoendelea na mwisho alimaliza kwa kusema kuwa ameambiwa aache hivyo hataendelea tena kuzungumzia masuala ya uwekezaji. 


Hizi hapa baadhi ya jumbe zao ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi:-

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *