Posted By Posted On

STERLING AIFUNGA ENGLAND BAO PEKEE YAICHAPA ICELAND 1-0, on September 6, 2020 at 7:31 am

Raheem Sterling akiifungia England bao pekee kwa penalti dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Iceland 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi la pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Laugardalsvollur Jijini Reykjavik. Mechi nyingine ya kwanza ya kundi hilo, Ubelgiji iliwachapa wenyeji pia, Denmark 2-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Raheem Sterling akiifungia England bao pekee kwa penalti dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Iceland 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi la pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Laugardalsvollur Jijini Reykjavik. Mechi nyingine ya kwanza ya kundi hilo, Ubelgiji iliwachapa wenyeji pia, Denmark 2-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *