Posted By Posted On

Tanzania: Hakuna uchaguzi bila wagombea, asema Zitto Kabwe,on September 6, 2020 at 4:45 pm

Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania ameishutumu tume ya uchaguzi nchini humo, pamoja na jeshi la polisi, kwa kile alichokiita “kuhatarisha amani ya taifa kwa kukatiza na  kuhujumu mchakato wa kisiasa” kwelekea kwa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu., Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania ameishutumu tume ya uchaguzi nchini humo, pamoja na jeshi la polisi, kwa kile alichokiita “kuhatarisha amani ya taifa kwa kukatiza na  kuhujumu mchakato wa kisiasa” kwelekea kwa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *