Posted By Posted On

VPL:YANGA 1-1 TANZANIA PRISONS, on September 6, 2020 at 4:08 pm

 Yanga 1-1 PrisonsUwanja wa MkapaKipindi cha piliMCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Klabu ya Yanga na Tanzania Prisons Uwanja wa Mkapa ni kipindi cha pili.Yanga inakwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imetoshana nguvu na Tanzania Prisons.Prisons ilianza kupachika bao la kwanza dakika ya 7 kupitia kwa Lambrt Sabiyanka ambalo lilisawazishwa dakika ya Michael Sarpong dakika ya 19.Mchezo ni wa ushindani ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtifuano huu ndani ya Uwanja wa Mkapa,

 Yanga 1-1 Prisons
Uwanja wa Mkapa
Kipindi cha pili
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Klabu ya Yanga na Tanzania Prisons Uwanja wa Mkapa ni kipindi cha pili.


Yanga inakwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imetoshana nguvu na Tanzania Prisons.

Prisons ilianza kupachika bao la kwanza dakika ya 7 kupitia kwa Lambrt Sabiyanka ambalo lilisawazishwa dakika ya Michael Sarpong dakika ya 19.

Mchezo ni wa ushindani ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtifuano huu ndani ya Uwanja wa Mkapa

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *