
KMC YAANZA LIGI KUU TANZANIA BARA KWA KISHINDO, YAWATANDKA MBEYA CTY 4-0 UWANJA WA UHURU
Timu ya Manispaa ya Kinondoni imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Mbeya City mchana wa leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, mabao ya Israel Mwenda, Hassan Kabunda, Abdul Hillary na Paul Peter ,
Timu ya Manispaa ya Kinondoni imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Mbeya City mchana wa leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, mabao ya Israel Mwenda, Hassan Kabunda, Abdul Hillary na Paul Peter
,
Comments (0)