Posted By Posted On

MZUNGUKO WA KWANZA VPL NOMA,MABAO 14 YAFUNGWA,KMC BABA LAO

MZUNGUKOwa Kwanza kwa msimu wa 2020/21 umekamilika jana Septemba 7 baada ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara Septemba 6.Jumla ya mabao 14 yamefungwa katika mechi 9 za mzunguko wa kwanza huku KMC wakiwa wa kwanza kutoa dozi nene ya mabao 4-0 mbele ya Mbeya Mbeya City.Timu saba zimeshinda, timu saba zimepigwa, timu nne zimetoka sare. Walioshinda ugenini ni Simba na JKT Tanzania pekee huku timu nane zikiwa hazijaruhusu goli lolote.,

MZUNGUKOwa Kwanza kwa msimu wa 2020/21 umekamilika jana Septemba 7 baada ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara Septemba 6.

Jumla ya mabao 14 yamefungwa katika mechi 9 za mzunguko wa kwanza huku KMC wakiwa wa kwanza kutoa dozi nene ya mabao 4-0 mbele ya Mbeya Mbeya City.

Timu saba zimeshinda, timu saba zimepigwa, timu nne zimetoka sare. Walioshinda ugenini ni Simba na JKT Tanzania pekee huku timu nane zikiwa hazijaruhusu goli lolote.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *