Posted By Posted On

RONALDO APIGA MBILI NA KUWEKA REKODI MPYA URENO IKIICHAPA SWEDEN 2-0

Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno mabao yote, dakka za 45 na 72 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna. Kwa mabao hayo, Ronaldo anakuwa mwanasoka wa pili wa kiume kuifungia nchi yake mabao 100, tangu afunge la kwanza kwenye fainali za Euro 2004 kwa kichwa dhidi ya Ugiriki. Gwiji wa Iran, Ali Daei ndiye anashikilia rekodi ya mabao ya 109 katika mechi 149 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno mabao yote, dakka za 45 na 72 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna. Kwa mabao hayo, Ronaldo anakuwa mwanasoka wa pili wa kiume kuifungia nchi yake mabao 100, tangu afunge la kwanza kwenye fainali za Euro 2004 kwa kichwa dhidi ya Ugiriki. Gwiji wa Iran, Ali Daei ndiye anashikilia rekodi ya mabao ya 109 katika mechi 149 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *