Posted By Posted On

YACOUBA SOGNE NA NYOTA WENGNE YANGA SC WAKIIWINDA MBEYA CITY KWA HASIRA ZOTE WAISHIKISHE ADABU JUMAPILI

Mshambuliaji Mburkinabe wa Yanga SC, Yacouba Sogne akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijino Dar es SalaamBeki wa Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) na kiungo Zawadi Mauya (kushoto) wakiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City Jumapili Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City  Kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa kuivaa Mbeya City Jumapili Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo na Mbeya City Jumapili ,

Mshambuliaji Mburkinabe wa Yanga SC, Yacouba Sogne akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijino Dar es Salaam

Beki wa Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) na kiungo Zawadi Mauya (kushoto) wakiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City Jumapili 

Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mbeya City  

Kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa mazoezini Yanga SC ikijiandaa kuivaa Mbeya City Jumapili 

Wachezaji wa Yanga SC wakifurahia mazoezini kuelekea mchezo na Mbeya City Jumapili 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *